Kikosi cha Senegal
Kikosi cha TZ International
Picha ya waamuzi na matimu kapteni.
Mchezaji wa TZ International Yusuf akifunga bao la kwanza
Mchezaji wa TZ International akijaribu kmuzuia mchezaji wa Senagal.
Mchezaji wa TZ International David aliyefunga mabao 2 akimramba chenga ya kisigino mchezaji wa Senegal.
Beki ya TZ International akiuwahi mpira wa kichwa dhidi ya fowadi ya Senegal.
Beki ya kati ya TZ International akimzidi kasi fowadi ya Senegal.
Jukwaa la Senegal likiwa kwenye masikitiko na kukata tamaa ya kurudisha mabao wakati huu wakiwa nyuma kwa mabao 3-1 dakika ya 86 ya mchezo.
Jukwaa la TZ International ni chereko zikiendelea.
Mashabiki wa TZ International wakifuatilia mtanange.
Kamati ya ufundi Benja na Yasin wakipongezana kwa kazi nzuri na huenda timu ya DMV ikawatumia dhidi ya New York Jumamosi May 24, 2014.
3 comments:
Mheshimia Lucas, timu yetu haaitwi Tanzania International, inaitwa Tanzania Diaspora DMV. Na pia Benja na Yassin hawahusiki kabisa kwenye timu yetu. Na hawana mchango wowote. Tunaomba ujumbe huu ufike.
tanzania diaspora dmv ha ha ha siasa kwenda mbele ili wakuu wakija wakupeni misaada ha ha ha
wabongo kwa misifa sifa ndo kazi zao wanapenda kujionyesha na kusifiwa sifiwa na kuringa ringa utafikiri wana maana sana kazi ipooo kidumu chama cha mapinduzii cha ufisadi diaspora ujumbe ufikee dj luke
Post a Comment