ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 5, 2014

WATANZANIA WAJITOKEZA NYUMBANI KWA ERNEST MEZA KUTOA POLE.

Ernest Meza katikati akiwa na majonzi ya kuondokewa na mama yake mzazi huko Tanzania, lakini alijisikia faraja kuona Watanzania wenzake walivyo jitokeza nyumbani kwa ajili ya kumpa pole.
Hapa ni nyumbani kwa Meza huko Mt Vernon New York, Watanzania walijumuhika hili kumfariji mfiwa. Mama yake Meza amefariki dunia huko Tanzania na mazishi yatafanyia nyumbani kwao Bukoba.

No comments: