
Mashindano ya African Nations Cupa akiendelea mjini London Uingereza yakishirikisha nchi mbalimbali za Africa zilizopo Uingereza katika picha na baadhi ya bendera za nchi washiriki katika mashindano hayo.

Shabiki wa Tanzania akiwa na bendera

Mechi ya Tanzania na Uganda

mtanange wa Zanzibar na Angola


Mechi ya Tanzania na Uganda

mtanange wa Zanzibar na Angola


Mechi kati ya Nigeria na Cameroon

Timu ya Zimbabwe wakila jaramba.

Nyama choma ikiendelea.

Vibamba vya kuuza bidhaa mbalimbali vikiendelea nje ya viwanja hivyo.

Dj wa timu ya Zambia akifanya vitu vyake. Picha kwa hisani ya Ally Muhdin
No comments:
Post a Comment