ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 28, 2014

ANGALIA PICHA ZA RED CARPET YA TUZO ZA WATU ZILIZOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA SERENA HOTEL

 

Mzee Majuto akiwa kwenye red carpet ya Tuzo za watu  

Salum Kikeke akipata ukumbusho kwenye tuzo za Watu  NI kupendeza tu kwenye  tuzo za watu
 Babu Tare pamoja na Said Fela wakiwa kwenye red Carpet ya Tuzo za watu  

JB naye aliamua kutokelezea kwenye red carpet ya Tuzo za watu  Madam Ritta akiwa kwenye red Carpet ya Tuzo za watu















1 comment:

Anonymous said...

Iko wapi hapo red carpet. .naona baraza ya cement wangu weka hata la plastiki