ANGALIA PICHA ZA RED CARPET YA TUZO ZA WATU ZILIZOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA SERENA HOTEL
Mzee Majuto akiwa kwenye red carpet ya Tuzo za watu
Salum Kikeke akipata ukumbusho kwenye tuzo za Watu NI kupendeza tu kwenye tuzo za watu Babu Tare pamoja na Said Fela wakiwa kwenye red Carpet ya Tuzo za watu
JB naye aliamua kutokelezea kwenye red carpet ya Tuzo za watu Madam Ritta akiwa kwenye red Carpet ya Tuzo za watu
1 comment:
Anonymous
said...
Iko wapi hapo red carpet. .naona baraza ya cement wangu weka hata la plastiki
1 comment:
Iko wapi hapo red carpet. .naona baraza ya cement wangu weka hata la plastiki
Post a Comment