ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 10, 2014

BAADA YA GARI LA SERIKALI KUTUMBUKIA SHIMONI, VIJANA WATWANGANA MAKONDE KUGOMBEA HELA ZA KULINASUA



Shimo ambalo limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.Gari  la serikali likiwa limekwama kwenye shimo hilo.Muonekano wa shimo ulivyo.Vijana wakilisukuma gari  hilo.Ugomvi ulivyoibuka katika kugawana fedha iliyotolewa na mwenye gari lililonasuriwa.Baada ya gari kukwamuliwa na kujitayarisha kuondoka.
(Picha na Gabriel Ng’osha/GPL)

No comments: