Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ambaye pia ni mgeni rasmi akifungua
mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu
Serikalini katika ukumbi wa St. Gasper mjini Dodoma
Kaimu Mkuu Mkoa wa Dodoma Bi Fatma Salum Ally (katikati) akiwakaribisha wageni waalikwa wa mkutanomkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini mkoani Dodoma, kabla ya mgeni rasmi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia) kufungua mkutano huo katika ukumbi wa St. Gasper mjini Dodoma leo.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu .
Katibu Mkuu Ofisi Rais, Utumishi wa Umma Bw.George D. Yambesi (katikati) akimkaribisha mgeni rasmi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini katika ukumbi wa St. Gasper mjini Dodoma leo.Kulia ni Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi.Claudia Mpangala.
wa Utawala na Rasilimaliwatu Wizarani, Idara za Serikali
zinazojitegemea,
Taasisi za Umma na Makatibu Tawala Wasaidizi Sehemu ya Utawala na
Rasilimaliwatu katika Sekretariati za Mikoa na Mameneja
Rasilimaliwatu katika Wakala la Serikali wakimsikiliza mgeni rasmi
Balozi Ombeni Sefue (haypo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano huo
katika ukumbi wa St. Gasper mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment