ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 5, 2014

BONGE LA CHATU LATOKEA NYUMBANI KWA MTU ARUSHA,MWENYEWE AOMBA ASIUAWE NI MWANAE WA KWANZA

Nyumbani kwa mtu katokea chatu kafungwa kitambaa cheupe kimeandikwa quran ndani ya geti wafanyakazi wakakimbia na kufungua geti ghafla mwenye nyumba akapigiwa simu akasema 
Chatu limetokea chumbani kwa huyo mama ghafla likaenda kwenye maua halijamdhuru mtu wanajitahidi kuliuachatu akutwa nyumbani kwa mtu, mwenye nyumba alipopigiwa simu akasema asiuwawe Ni mwanae, imetokea sasa hivi arusha, huko sakina maeneo ya motel 2000
Mwenye nyumba anaitwa Magesa.Jamani walimwengu hawaachi tu kutushangaza muda huu nimerudi nyumbani nasinzia sinzia ndio napewa yaliyojiri mkoani arusha huko.Ila wananchi wamemuua huyo chatu.
Credit Dina Marios Blog

5 comments:

Anonymous said...

Nani aliekwambia kwamba hii ni Qur'an. Acheni ushirikina. Mara vitoto vichanga vinadhulumiwa, Mara chatu, Mara Kikombe cha babu!!!!!!

Anonymous said...

nafiki wewe dina mario quran gani inaandikwa hivyo hata kiarabu hakiandikwi hivyo.

Hisham said...

Kila maandishi ya kiarabu yanakuwa Quran. ..mbona mukiona gazeti la udaku hasemi ni bibila?

Anonymous said...

Hayo maandishi yaliyoandikwa kwenye hicho kitambaa sio Quran, Msipotoshe watu jamani, ni vizuri mkawauliza wahusika kabla kuandika kwenye Blog zenu. Ingekuwa vyema mwandishi angeomba radhi kwa usumbufu alio uleta.

Anonymous said...

Bongo tz bwana..ahh niwanoma😵