Mwili w Marehemu ambaye jina lake bado halijafahamika
![]() |
| Wasamalia wema wakijaribu kuufunika mwili wa Marehemu |
Kijana
mmoja anayedaiwa kuwa ni mfanya biashara ndogondogo anamekutwa amefariki katika
kituo cha mabasi yaendayokasi cha Manzese Asubuhi Jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu
wa mtendaji wa kata ya Mudini – Manzese Bw Penford Kizo na baadhi ya mashuhuda
wamesema hawajui kifo hicho kimesababishwa na nini.
Aidha
iliwachukua muda mrefu wakazi wa eneo hilo kubaini kwamba kijana huyo kafariki
kwani vijana wengi wana kawaida ya kulala katika vituo hivyo vya mabasi.


No comments:
Post a Comment