Sunday, June 1, 2014

CELEBRATION OF THE LIFE OF MURIEL KACHUCHURU

Muriel Kachuchuru enzi ya uhai wake
Mr AugustineTraore kwa niaba ya Kachuchuru famill akitoa shukurani kuwashukuru wageni ndugu, jamaa na marafiki waliojuuika pamoja na familia ya Kachuchuru katika kusherehekea maisha ya mpendwa mama yao iliyofanyika siku ya Jumamosi May 31, 2014 Silver Spring, Maryland
Juu ni Kachuchuru family katika picha ya pamoja na chini Kachuchuru family na ndugu, jamaa na marafiki wa familia hiyo wakipata picha ya kumbukumbu.

Jennifer  Mshamma akitoa burudani ya wimbo wa injili.
Mtoto wa marehemu, Rose Kachuchuru akiimba moja ya nyimbo zake katika kusherehekea maisha ya mpendwa mama yake.
Wajukuu wa bibi wakisoma ujumbe wa jinsi gani walivyomfahamu bibi yao na watakavyomkumbuka daima na wengine wakimshukuru bibi yao kwa malezi bora aliyowapa wazazi wao.
Pamoja na kusherehekea maisha ya mama yao, dada mkubwa Peace Kachuchuru naye alisherehekea siku yake ya kuzaliwa hapa akikata keki.
Mr. Augustine Traore akimlisha keki dada Peace Kachuchuru.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.


No comments: