Sunday, June 1, 2014

MAREHEMU AMINA ZAHARA SHABANI MTENGETI AZIKWA LEO KISUTU, DAR ES SALAAM

 Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilali, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na viongozi wengine na waombolezaji wakiwa katika mazishi ya marehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam jioni hii. Marehemu, ambaye ni mdogo wa Hajat Mwantumu Malale, Dkt. Asha-Rose Migiro, Balozi Radhia Msuya, alifariki jana
 Shughuli za mazishi zikiendelea
 Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilali akiweka udongo kaburini
 Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini
 Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim akiweka udongo kaburini
 Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman akiweka mchanga kaburini
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Mecky Sadick akiweka mchanga kaburini
 Viongozi, ndugu, jamaa na marafiki wakiweka udongo kaburini
 Balozi Juma Mwapachu akiweka udongo kaburini
 Makamu Mwenyekiti wa CCM Mhe Philip Mangula akiweka udongo kaburini
Ndugu, jamaa na marafiki wakiweka udongo kaburini.
Picha na Sultani Kipingo wa Globu ya Jamii

1 comment:

Anonymous said...

inna lillah waina illahim rajiun Allah amuweke katika watu wema peponi amin.

poleni wote ndugu jamaa family nzima na mashahiba wake mfiwa. mungu akupeni moyo wa subra huu ni wakati wa kuwa na moyo wa subra na kufaulu mitihani ya Allah wote ndo njia yetu hii na ndo mfano Allah anatuonyesha kwamba hakuna atakaye baki duniani ile yeye wakati ukifika kila mtu aatakwenda na wakati wake so tutende mema watu watukumbuke kwa mema yetu na tuishi na watu kwa wema na tumuogope Allah tusikufuru na kupitiliza na kusahau kwamba hapa duniani tunapita njia tu tuko safarini.

inna lillah waina illahim rajiun Allah amghufiriye na amuweka pema peponi amin amin amin