ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 7, 2014

Daladala ya Kenya ‘Matatu’ Ilivyopewa Shavu na Lupita Nyong’o


Daladala ya Kenya ‘Matatu’ Ilivyopewa Shavu na Lupita Nyong’oNyumbani ni nyumbani na mkataa kwao ni mtumwa. Muigizaji wa Kenya Lupita Nyong’o ambaye anaiwakilisha vizuri nchi hiyo kimataifa ameonesha upendo kwa dalada ya Kenya maarufu kama Matatu iliyoandikwa jina lake kwa herufi kubwa.
Kupitia Instagram page yake yenye followers zaidi ya
milioni moja na laki moja, Lupita amepost picha ya Matatu hiyo kuonesha dunia jinsi anavyokubalika nyumbani.
“Don’t worry, I have a ride.” #MatatuLove#Kenya” Lupita Nyong’o ameandika kwenye post yake.

Baada ya kupost picha hiyo, muda mfupi baadae ilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na blogs kitu ambacho ni deal kwa mmiliki wa gari hilo kwa kuwa amepata matangazo makubwa bure kwa kuonesha tu anavyompenda

No comments: