Advertisements

Thursday, June 5, 2014

DIAMOND PLATNUMZ-AHSANTE MHESHIMIWA RAIS KWA KUWAJALI VIJANA WAKO WANAOJITUMA!

kutoka kshoto ni Promoter DMK,Diamond Platnumz,Kevin Liles,Rais Dkt Jakaya Kikwete.

Hivi Majuzi wakati Tour ya Diamond ilipokuwa New York,Ma Promoter wake pamoja na Yeye mwenyewe walikaribishwa na Mheshimiwa Rais ambapo mbali na mambo mengine Mheshimiwa alimpongeza Diamond katika mafanikio yake ikiwa nipamoja na Kuchaguliwa kuwania tuzo za BET hapa nchini Marekani.Raisi hakuwahi kupata nafasi ya kumpongeza kijana huyo kwani wakatimatangazo yalipotoka Diamond alikuwa nje ya nchi.Mheshimiwa pia alimkutanisha Diamond na aliyekuwa Raisi wa Def Jam Record/Warner Bros Music group Mr Kevin Liles ambaye alionyesha nia ya kufanya mambo makubwa na Diamond.
Kevin ni Multi Millionare mwenye utajiri wa zaidi ya Dollar Milioni 60 ambaye kwa sasa ni manager wa wanamuziki Trey Song,Big Sean,Ty Dolla Sign,Kuna uwezekano mwanamuziki Diamond akawajoin Hao hivi karibuni..waingereza wanasema(hard work pays)Congratulation to Diamond for hard work and Thank you Mr President for Supporting your Youths.
Kuna jambo liliwafurahisha kutoka kwenye video za Diamond
                                        Je wataka kujua Nini hapa kilikuwa kikizungumziwa?

                                                     
Kevin akiangalia Video ya Diamond akiwa Congo kwenye simu yake.

2 comments:

Anonymous said...

Hashim yukwapi hapo au ndio malezi hahaha pls take notes mwenzio diamond analeta ushindi tz nakumbuka mamako alisema jk huwa yeye ndio anakutafuta akija states nimeshangaa sijakuona hapo
diamond usivimbe kichwa ila hongera sana angalia kina justin bieber alijisahau sasa anaanguka so kuwa humble kwa watu ujue kadri unapanda ku mtu anataka kukuangusha
Good job bwamdogo

Anonymous said...

Mmmmm haya basi, habari ndiyo hiyo !!! Naogopa kusema nitanyolewa kucha na kutobolewa macho.
Kutesa kwa zamu.