Advertisements

Thursday, June 5, 2014

KUMBE FLORA MBASHA NDIO TABIA YAKE KUBAMBIKIA KESI, MCHUMBA WAKE WA KWANZA AFUNGUKA NA KUNENA HAYA MAZITO

Flora Mbasha alikuwa na mchumba anaitwa Imma Lugisha huko Mwanza kabla hajaja Dar akiwa amechumbiwa tayari Wiki mbili kabla ya kufunga ndoa Flora akapata safari ya kwenda UK ambako wenyeji wake walimshauri kwamba kwa uzuri wake atapata Mume mzungu mwenye pesa kuliko Imma yule wa Mwanza.
Ili kumkimbia Imma Flora na familia yake wakamtengenezea ishu Imma mchumba wake kwamba ana Ukimwi kwa hiyo Flora hawezi kuolewa naye, mpaka leo Imma hajawahi kuoa tena na wala hana hamu kumbe hili la kumsingizia Mumewe kumbaka mdogo wake hakuna jipya kwa wanaomjua vizuri ila ilikuwa tu the matter of time kabla hanaswa!!

7 comments:

Anonymous said...

kumbe watumishi wa mungu wana mambo yao..

Anonymous said...

Wabongo wapumbavu sana, mtu anabaka halafu mnataka kumtetea? kwanza kutembea na mtoto wa miaka 17 hata kama si shemeji yake inabidi aende jela. Acheni upumbavu jamani... hebu fikiria angekuwa ni mtoto wako au mdogo wako. Amkeni jamani, mtu kabaka, mtoto akapimwe na akikutwa ameingiliwa basi jamaa apelekwe mahakamani. hata kama familia inasuasua kushitaki, basi ustawi wa jamii uchukue jukumu hilo

Anonymous said...

Yaani wabongo issue mtu kabaka analeta story na watu ghafla wanamuona ni victim wanasahau alibakwa...

Anonymous said...

Ulikuwepo wakati anabaka? Kaa kimya kama umekosa lakuongea acha upelelezi ufanyike sio unaropoka tu!!

Anonymous said...

Hapa tatizo siyo wabongo, ni ufinyu wa kufiri na kutokujua sharia. Innocent until proven guilty. Ni mahakama peke yake ndiyo inayoweza kumtia hatiani. Watanzania tupunguze "the court of public opinion"

Unknown said...

Kama hakubaka alikimbia nini aende jela achukue na picha ya mke wake ms ya binti miaks 30 mingi

Anonymous said...

Tusubiri uamuzi wa mahakama,sio kukurupuka tu...