Jana Jumapili ndani ya Club Bilicanas
msanii wa R&B nchini alikuwa akizindua video yake mpya inayoitwa
NITASUBIRI. Show ilikuwa kali sana na watu walijaa sana kama uionavyo
picha ya juu hapo, Jux alipanda na kuanza kuimba nyimbo zake kadhaa
kisha akaitambulisha video yake hiyo mpya. Soon niipatapo nitawawekea
hapa wadau wangu na nyie muweze kuitizama
Ni wasanii wachanga wanaokuja vizuri kwa game kutoka kushoto ni
Piano pamoja na EM-Dee na wana MixTape yao inayoitwa BORA UENDE
Huyu kijaa aliyevaa kofia ni msanii anayekuja kwa kasi ya ajabu anaitwa HERI MUZIKI.. kuna siku mtanielewa tu ninachokimaanisha
Cyrill kwa steji
Young Dar es Salaam
Country Boy & Young Dee
MC wa show alikuwa ni B12 kutoka XXL ya Clouds FM
Mr Blue
Nyandu Tozi
Vanessa Mdee
Ikafika nafasi ya msanii JUX kupanda kwa steji na hakuniangusha kabisaa
Picha na DJCHOKa
Picha na DJCHOKa

















No comments:
Post a Comment