Kamanda wa Polisi Kanda ya Temeke Engelbath Kiondo leo amezungumza na
vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake kuelezea kilichotokea jana
kwenye uzinduzi wa radio hiyo mpya ya 93.7 E-FM.
Kamanda huyo alisema Jeshi la Polisi na waandaji wa
tamasha hilo walipoona umati wa watu kuwa mwingi na ili kuepusha madhara ambayo yangeweza kujitokeza kwa rai basi walizima mzuki mapema nusu saa kabla ya kumalizika kwa shughuri hiyo.
tamasha hilo walipoona umati wa watu kuwa mwingi na ili kuepusha madhara ambayo yangeweza kujitokeza kwa rai basi walizima mzuki mapema nusu saa kabla ya kumalizika kwa shughuri hiyo.
Hata kitendo cha kuzima muziki kabla ya muda kumalizika kiliwauzi vijana
ambao walionekana ni wahuni ambao walianza kurusha mawe kwenye jukwaa
pamoja na kuwashambulia Polisi kwa mawe ndipo polisi walitumia nguvu za
ziada za kuwatawanya vijana hao wa kihuni kwa kuwarushia mabomu ya
machozi.
Aidha katika taarifa yake Kamanda huyo alisema kuwa katika purukushani
hizo polisi watatu wameumia lakini wanaendelea vizuri hadi sasa
No comments:
Post a Comment