ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 27, 2014

KIJANA MMOJA HUKO GERMANY AAMUA KUJITOBOA KINYWA YA PILI SHAVUNI

 Hapa joel akionyesha kinywa yake ya pili pembeni ya Shavu lake na ulimi umetoza, dunia ni watu na watu wenyewe ni sisi sisi.
Joel amefunga mdomo na bado unaweza kuona meno kupitia shavuni.

2 comments:

web design tanzania said...

Du sasa huyu ni nini amekosa, au ndio kutafuta attention?

Anonymous said...

Anatafuta wafuaasi.Haya wenye kuiga kazi kwenu.