
Alysia Montano akitimua mbio uku akiwa na ujauzito wa week 34. Alysia alikuwa kivutio kwa kuweza kukimbia na kumaliza akiwa na hali hii na ukizingatia ni ujauzito wake wa kwanza. Alysia ameshakuwa bingwa wa taifa mala tano kwa record ya 2. munite na 35.13 akiwa mwanafunzi wa University of California.


Akiwa kwenye starting point kabla ya mbio hizo kuanza.

No comments:
Post a Comment