Hivi ndivyo kituo cha Daladala cha Mwenge kilivyo bomolewa asubuhi ya leo
Hiki kilikuwa Choo cha kulipia kilichokuwa Mwenge nacho kikiwa kimebomolewa
Ulinzi ukiwa umeimarishwa
Kazi ya Kubomoa na kuondoa vibanda ikiwa inaendelea Mwenge
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ubomoaji ukiendelea
Hili lilikuwa eneo la kupumzikia zamani la Abiria kungoja usafiri nacho kikiwa kimebomolewa
Mabaki ya Vibanda
Mmoja wa Mgambo akiwa amebeba Meza kupeleka eneo husika Tayari kwa kuzikusanya kuzipeleka eneo husika
Kazi ya Ubebaji Meza na Mabaki ya Vibanda ikiendelea
Mashuhuda wakiongezeka
Moja ya eneo ndani ya Mwenge walipo hifadhi baadhi ya Meza za Biashara
Bomoa Bomoa ikiendelea upande wa Juu Mwenge
Hapa walikuwa wanabomoa Sehemu zote za vibanda zilivyo zidi mbele
Mgambo anafanya kazi bila Air Mask wakati kazi inaendelea ya Bomoa bomoa
Mashuhuda upande wa Juu Mwenge
Ulinzi ukiwa umeimarishwa kila sehemu
Hapa ilitaka kutokea Shoti ya Umeme Baada ya gari la kubomoa kupita sehemu ambayo kuna waya wa umeme, TANESCO hawajazima umeme eneo hilo jambo ambalo ni Hatarishi.
Hali Halisi baada ya eneo hilo kubomolewa
Picha na Dar es salaam yetu Blog
2 comments:
sasa mumewajenge mazingira ghani ya kutafuta watu riski zao? halafu wakiwa wanafanya uhalifu na mambo yasiyostahili mnalia kwamba aah uhalifu umezidi dar na etc na etc.
ukibomoa jenge misingi yao ya kupata riski ukishindwa basi ndo wanakuwa matapeli na majambazi na mamapoa mitaani usiku na msilalamike kwa sababu nyinyi ndo chanzo
Nafikiri huu ni wakati muafaaka wa kukiweka hiki kituo katika halo ya usalama zaidi kwani nyakati za usiku ni balaaah. Ni vyema basi sehemu muafaka ya kufanyia biashara zao itengwe na kituo kibaki kama kituo cha abiria na mabasii t sio biashara jamani Hapo zilikuw zinatozwa kosi kila siku na hazijulikani zinakoishia!!Harambeeeeeehhhhh
Post a Comment