ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 26, 2014

MAKAMU WA RAIS WA CHINA AWASILI ZANZIBAR

DSC_1825Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao akipunga mkono wakati akiteremka katika ndege na kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.DSC_1832Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akivishwa shada la Mauwa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.DSC_1835Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao wakwanza kulia akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Zanzibar baada ya kuwasili,katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi.DSC_1864Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kulia akiwa pamoja na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao wakikagua gwaride rasmi lililotayarishwahapo katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.

No comments: