
Waliokaa toka kushoto ni CEO wa Mambo Jambo Media Group Cooperation, Bwn Julius Makiri yenye maskani yake jijini Arusha akijiandaa kutiliana saini mkataba wa ushrikiano na Bwn. Wang Minghua (kati)ambaye ni makamu wa rais wa China Radio International Max Group Media ya China siku ya Jumapili June 22, 2014 Serena Hotel. Mkataba utakuwa ni ushirikiano wa nyanja zote za habari zikiwemo, TV, Radio na Magazeti, mkataba unaozijumuisha nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Zambia na Botswana.Kulia ni Bwn. Gengx Nan ambaye ni Rais wa Global Max Media ya Botswana.

CEO wa Mambo Jambo Media Group Cooperation, Bwn Julius Makiri akitiliana saini ya mkataba wa ushirikiano na Bwn. Wang Minghua (kati)ambaye ni makamu wa rais wa China Radio International Max Group Media ya China siku ya Jumapili June 22, 2014 Serena Hotel. Kulia ni Bwn. Gengxu Nan ambaye ni Rais wa Global Max Media ya Botswana.
CEO wa Mambo Jambo Media Group Cooperation, Bwn Julius Makiri akishikana mkono baada ya saini ya mkataba wa ushirikiano na Bwn. Wang Minghua (kati)ambaye ni makamu wa rais wa China Radio International Max Group Media ya China siku ya Jumapili June 22, 2014 Serena Hotel. Kulia ni Bwn. Gengxu Nan ambaye ni Rais wa Global Max Media ya Botswana.
No comments:
Post a Comment