Adha ya Foleni jijini Dar es Salaam imemkumba mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka nchini Tanzania, Shy-Rose Bhanji aliyekuwa akisafiri kwa ndege na kulazimika kukwea bodaboda ili imuwahishe Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Dar es Salaam hii leo. Father Kidevu
1 comment:
si mnaona wenyewe ufisadi wa ccm na kukosa akili wanawacha watu walete magari holela kutoka majuu na pande zote za dunia na huku hawana mbinu za kubuni kuchonga barabara nzuri zenye kukizi haja za watu wenye magari hayo kuendesha kwa ufanisi.
what a shame na kituko hiki kipo peke Tanzania
Post a Comment