| Add caption |
| Mkurugenzi wa mipango ya uwekezaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Gabriel Silayo katikati akiwa na baadhi ya maofisa wa PSPF wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma |
Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud akimkaribisha Bi, Veronica Nyambajo wakati wa mahadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyomalizika jumatatu hii
Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud aki muhakiki mteja Francisca Kwitende ambaye alitembelea banda hilo kwa ajili ya kupata mahelezo mbalimbali wakati wa mahadhimisho ya maadhimisho ya watumishi wa Umma
Afisa wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma Bi, Leila Laizer kulia akimpatia maelekezo Francisca Kwitende ambaye alitembelea banda hilo kwa ajili ya kupata mahelezo mbalimbali wakati wa mahadhimisho ya maadhimisho ya watumishi wa Umma
BAADHI YA WANANCHI WALIOTEMBELEA BANDA LA PSPF WAKIPATIWA HUDUMA MBALIMBALI WAKATI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw,Hadji Jamadary kulia akitoa maelekezo mbalimbali jinsi ya kujiunga na mfuko huo
No comments:
Post a Comment