
Aliyekuwa Sheikh mkuu wa mkoa wa Tabora Sheikh Shaaban Salumu(aliyevaa
shati jeusi) wakati alipokuwa barabarani akisindikizwa na waumini wa
dini ya kiislamu baada ya kuachiwa kwa dhamana katika mahakama ya hakimu
mkazi Tabora akituhumiwa kwa kosa la kutaka kuleta fujo msikiti mkuu wa
Ijumaa Gongoni mjini Tabora akiwa na waumini wengine watano.

Sheikh Shaaban Salum akiwa na baadhi ya waumini waliounganishwa naye katika kesi moja mahakama ya hakimu mkazi Tabora mjini.

No comments:
Post a Comment