Mh VuaiAli Vuai Naibu katibu mkuu Zanzibar aupongeza uongozi wa Tawi, CCM DMV Marekani kwa kufanikisha uchaguzi wa Katibu wa Tawi,
Mh Naibu katibu Mkuu Zanzibar alitoa pongezi hizo leo kupitia kwa Katibu Mwenezi, bi Salima Moshi, alisema Naupongeza uongozi wa Tawi wajumbe wa Halmashauri kuu yaTawi Msimamizi wa uchaguzi, ambaye alikuwa, kada Seif Akida alitokea Tawi la New York Aliwapongeza, Wagombea wote kwa kujitokeza nakumpongeza mgombea aliyeshinda, na kuwatakia kila la kheri Wanachama wote wa CCM DMV Marekani.
CCM DMV Marekani alisema tunashukuru uchaguzi umekwisha salama tuendeleze mshikamano wetu Umoja Wetu, ili kuweza kufanikisha shughuli zetu, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

No comments:
Post a Comment