Advertisements

Friday, June 27, 2014

MKURUGENZI MKUU TMA ASHIRIKI MKUTANO WA 66 WA KAMATI KUU YA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO-EC).

Rais wa Shirika la hali ya hewa Duniani (WMO) Prof David Grimes (wanne kushoto mstari wa mbele) na Katibu Mkuu wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Michael Jerraud (watatu toka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kamati kuu ya Shirika la hali ya hewa Duniani (WMOEC) Mkurugenzi Mkuu  wa Mamlaka ya Hali ya Hewa, Dkt Agnes Kijazi (wa kwanza kushoto waliosimama) akiwa mmoja wa wajumbe 37 wa kamati hiyo kuu ya WMO

No comments: