MNAOKULA KUKU KWA MRIJA,KUMBUKENI KUNA SHULE ZIPO HIVI
Mtihani Unaendelea hapa
3 comments:
Anonymous
said...
Hii ni aibu yetu kama wapiga kura na wanainchi kushindwa kuwawajibisha wabunge na serekali yetu. Hi ni aibu saaana mwaka 2014...tunadai tummeendelea mambo muhimu yote tumetelekeza tunajali muziki na majengo marefu ..shame on you Tanzania leaders na wapiga kura !
Subiri wagharamie kujenga GYM ya waheshimiwa wabunge itakayogharimu 2.something BILLION, then hao hapo labda (MAYBE) watafikiriwa baadae, si taifa la kesho hilo na kesho bado haijafika. I'm just sayin'
Peleka hiyo picture ikulu na kwenye matawi ya CCM alafu waulize misaada na deni kubwa tunalodaiwa limeenda wapi?.?.?????. Usituulize sie tunaokula kuku hatujasababisha haya mambo.

Post a Comment