ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 21, 2014

MSIBA MINNESOTA

Tunasikitika kuwataarifu Ndugu Jamaa na marafiki kuwa Ndugu yetu Bariki Mshomi amefiwa na Mdogo wake Robert Mshomi Huko Moshi - Tz. Mazishi yatafanyika Moshi Tanzania June 23. Kama ilivyo desturi yetu, tunaombwa kujitokeza kumfariji Ndugu yetu na mwana jumuiya mwenzetu katika kipindi Hiki kigumu. Tutakuwa na memorial service na nafasi ya watu kuleta rambirambi nyumbani kwa Bariki Mshomi kesho jumapili June 22 kuanzia 4.30pm . Adress: 22820 Gardner avenue; Rogers mn 55374. Mungu ametoa na yeye ametwaa jina la Bwana libarikiwe. Kwa niaba ya kamati , Gracious Msuya, Mwenyekiti. Tel: 763-439-5626

No comments: