ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 6, 2014

PICH 5 ZA MTOTO WA KIKE WA R KELLY ALIYEJIBADILI KUWA MVULANA.

Dunia ina surprises nyingi, kuna watu hawapendi muonekano wao na hufanya juu chini hata kufanya upasuaji ili wawe na sura ya mvuto lakini wapo wengine ambao hawapendi kabisa jinsia waliyopewa na Mungu. jaya  kelly , Mtoto wa mfalme wa R&B, Robert Kelly aliyezaa na muigizaji Andrea Kelly aliyewahi kuwa mke wake ameipinga jinsia yake na kujiunga na kundi la watu wanaoishi kwa mtazamo tofauti na jinsia zao na kujibadilisha kuwa jinsia tofauti japo sio kwa kubadili viungo vya uzazi (Transgender/FTM).http://i2.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2014/06/jay-na-r-kelly.png
Mtoto huyo wa kike mwenye umri wa miaka 14 anaefahamika kwa jina la Jaya Kelly, hivi sasa anaitwa Jay Kellyhttp://i1.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2014/06/Jay-kabla.png
na anaonekana kujuta kuzaliwa msichana. Jay kabla
Hata hivyo, ameona bado hajachelewa na amebadili muonekano na aina ya maisha yake. jaya baada a
Jay Kelly ni miongoni mwa watoto watatu wa R Kelly aliozaa na Andrea. Wengine ni Joann Kelly na Robert Kelly Jr.Jaya akiwa na mama yake
Huu ni muonekano wa sasa wa Jaya aka Jay baada ya kujibadilishajay baada
VBE

No comments: