ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 2, 2014

PICHA YA YALIOJIRI KATIKA MAZISHI YA MAREHMU HAJJAT SHIDA SALUM (MAMA YAKE MH. ZITTO KABWE)


Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukiombewa.
Viongozi mbalimbali wakishiriki kuombea mwili wa
marehemu.
Zitto Kabwe akiungana na waombolezaji kuombea mwili wa mama yake.
Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukishushwa baada ya kuwasili nyumbani mchana wa leo.

3 comments:

Anonymous said...

Duu...Siasa za bongo za kinafiki kweli. Hawa CHADEMA wameshidwa hata kutoa mkono wa pole. Pole comrade mungu akuzidishie nguvu na akusaidie katika kipindi hiki kigumu.

Anonymous said...

innah lillah wainnah illah rajuun

Anonymous said...

inna lillah waina illahim rajiun Allah amuweke katika watu wema peponi amin.
Pole sana zitto kabwee na family yako yote na ndugu na jamaa wote wahusika.
Allah akupe moyo wa wakustahamilli wenye subra zitto kwabwe pamoja na family yako yote.
huu ni wakati wa kuwa na moyo wa subra illi muweze kufaulu mitihani ya Allah.
Sisi sote waja ndo njia yetu hii na Allah anatuonyesha mfano kwamba hakuna atakaye baki duniani ile yeye wakati ukifika kila mtu aatakwenda na wakati wake so tutende mema kwa wingi hapa duniani na tutendeane wema kwa kila kiumbe mwenzetu ili watu watukumbuke kwa mema yetu na tuishi na watu kwa wema na tumuogope Allah tusikufuru na kupitiliza na kusahau kwamba hapa duniani tunapita njia tu tuko safarini.

inna lillah waina illahim rajiun Allah amghufiriye na amuweka pema peponi amin amin amin