Mzozo wa
ubaguzi wa rangi unatokota nchini Ufaransa baada ya picha kupatikana za
maafisa wa polisi wazungu wakiwa wamejipaka rangi nyeusi huku wakiiga
mienendo ya nyani katika sherehe moja.
Mkuu wa polisi wa Ufaransa ameanzisha uchunguzi juu ya
suala hilo, baada ya picha hizo kupatikana
katika ukurasa wa Facebook wa afisa mmoja wa polisi, imeripoti tovuti ya
Channel 4.Mkuu wa polisi wa Ufaransa ameanzisha uchunguzi juu ya
Maafisa hao wa polisi wanadhaniwa ni kutoka kikosi cha Kremlin-BicĂȘtre, kusini mwa Paris.
Hii si mara ya kwanza kwa polisi wa Ufaransa kutuhumiwa kwa ubaguzi wa rangi katika mitandao ya kijamii. Mwaka 2013 afisa mmoja wa kike wa polisi alitoa maoni ya kibaguzi hadharani.
2 comments:
I am black and I have never seen such scary faces in my life. This is not how black people look like. This could be from some halloween event. I do not take any offence on this.
NA BADO WAKUMBATIYENI WANZUNGU KILA KONA WANAKUZARAULINI NYINYI BADO TU MNAO NA KUWAGANDA NA WALA HAWANA MPANGO NA NYINYI
Post a Comment