| Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akitoa dawa za kulevya katika mikoba ya kike ambayo imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA. |
| Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akiwaonesha waandishi wa habari(hawako pichani)moja ya mikoba iliyotumika kufichia dawa za kulevya kwa ustadi mkubwa. |
| Dawa za Kulevya ambazo hazijafahamika ni aina gani zikiwa katika mifuko maalumu. |
3 comments:
kila mtu ana mbinu yake yakubeba haya madawa,kweli huyu kiboko,na hawakomi jamani kila siku wanaona watu wanakamatwa
Tunaomba picha zao pia,ilituwatambue.
kwanini wakome na maisha magumu nyumbani na ukifanya hivi ukifanikiwa una punch in life halafu cha kuchekesha mbona hawakamatwi the big fish eti kilo hizi ndo mtu anakamwatwa kwanini watoto wa wakubwa serikallini hawakamatwi wale wadada waliokamatwa south africa mbona wako mitaani leo wana dunda tuu kama sio wao.
acheni maigizo yenu wacheni wakabebe hawa na wakikamatwa bahati mbaya tuu ajali kazini wache big fish in town watese na kuingiza makontena ya madawa ya kulevya nchini
Post a Comment