ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 16, 2014

Professor Benezeth Mutayoba apata tuzo ya 2014 National Geographic Buffett for leadership in conservation

Professor Benezeth Mutayoba , Profesa chuo kikuu cha Sokonne na makamu mwenyekiti wa Tanzania Elephant Protection society akipokea tuzo ya Buffet For Leadership In Conservation kutoka National Geographic siku ya Alhamisi June 12, 2014 Washington, DC. Wanaomkabidhi tuzo ni Dr. John Francis (kushoto) ambaye ni makamu wa Rais National Geographic kwenye Utafiti na Gary E. Knell ambaye ni Ris National Geographic na Afisa Mtendaji Mkuu
Professor Benezeth Mutayoba , Profesa chuo kikuu cha Sokonne na makamu mwenyekiti wa Tanzania Elephant Protection society akiotoa shukurani na kuelezea kuguswa kwake kwa Natianal Geographic kutambua mchango wake na kumpa tuzo ya 2014 National Geographic Buffett For Leadership in Conservation.
Professor Benezeth Mutayoba , Profesa chuo kikuu cha Sokonne na makamu mwenyekiti wa Tanzania Elephant Protection society katika picha ya pamoja na maafisa Ubalozi  wa Tanzania nchini Marekani siku alipotembelea Ubalozi huo kutoka kushoto ni Afisa Switebert Mkama, Professor Benezeth Mutoyoba, Mkuu wa Utawala na Fedha Mama Lily Munanka Afisa Paul Mwafongo na Amon Mutayoba mtoto wa Profesa Benezeth Mutayoba aliyemsindikiza baba yake kwenye tuzo hiyo.

No comments: