![]() |
| Kamanda Suzan Kaganda akimkabidhi zawadi ya mipira,madaftari,na kalamu mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Idudumio alipotembelea shule hiyo. |
![]() |
| Kamanda Suzan akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wazazi wa wanafunzi wa Shule ya msingi Idudumio. |
![]() |
| Kamanda Suzan aliwapatia zawadi baadhi ya wanafunzi wa kike walioweza kujibu maswali ya papo hapo yanayohusu Polisi Jamii |
| Baadhi ya wanafunzi wa kike wa Shule ya Msingi Idudumio waliweza kujibu maswali na kupata zawadi za aina mbalimbali ikiwemo kalamu,madaftari na mipira. |




No comments:
Post a Comment