ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 26, 2014

SENSEI RUMADHA FUNDI AZIDI KUNOLEWA NA WATAALAM WA KIJAPANI KATIKA KATA SEMINAR


Houston,Texas,USA.
Si Mwingine bali yule yule mtaalam wa michezi ya karate wa kimataifa Sensei Rumadha Fundi aka Sensei Romi,kutoka Uswahilini mwenye makao yake mjini Texas,Marekani,juzi tarehe 21 Juni 2014 alikuwa miongoni mwa wataalam wa kimataifa walio teuliwa kushiriki seminar maalumu ya "Japan Karate-Do Federation KATA SEMINAR " iliyoendeshwa na wataalamu walimu mabingwa kutoka Okinawa,Japan. Semina hiyo ilifanyika katika
University of St. Thomas, Houston,Texas,nchini Marekani.

Sensei Rumadha Fundi ni mwafrika pekee aliyeteuliwa kushiriki katika seminar hiyo. mtaalam huyu Sensei Rumadha Fundi mwenye mkanda mweusi na 3 Dan,ambaye pia ni mtaalam wa ngazi ya juu wa mazoezi ya Yoga,inasemekana kuwa uenda akaongezewa dan nyingine kutoka kwa

baraza la utawala la mchezo huo lenye makao makuu yake kule OKINAWA,JAPAN.
 Sensei Rumadha Fundi, katika "Japan Karate-Do Federation KATA SEMINAR " aliyofanyika Jumamosi 6/21/2014 katika University of St. Thomas, Houston, Texas chini ya Master Sensei  Masataka Muramatsu Dan 8 ( Hanshi), master Tatsuo Takegawa Dan 7 ( Kyoshi), kutoka Japan na washiriki kutoka Marekani, Mexico na bara la Ulaya chini ya uandalizi wa Sensei Ramon Veras Dan 6 wa Houston, Texas, USA.          Photos namba 1: pamoja na master Muramatsu, photo  namba 3, sensei Muramatsu na Sensei Tatsuo Takegawa toka Japan. Photo namba 6: Sensei Rumadha na Sensei Ernie Salinas. 
 Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: