Familia ya Mrs. Arukeni Mushi inapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wale wote walioshirikiana nasi kwa hali na mali katika msiba wa mama yetu mpendwa Mama Mushi.
Asanteni kwa kwa sala na michango yenu, Mwenyezi Mungu awazidishieni na awape baraka zake.
Mungu ametoa na Mungu ametwaa. Amina.
1 comment:
RIP mama...
Post a Comment