ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 16, 2014

SPURS NDIYO MABINGWA WAPYA WA NBA BAADA YA KUIGALAGAZA MIAMI

Spurs San Antonio wakiwa na wenye furaha baada ya kuigalagaza Miami Heat na kutawazwa mabigwa wapya wa NBA. Ubigwa huo ulikuwa wenye furaha zaidi baada ya kutwaa wakiwa kwenye uwanja wa nyumbani San Antonio na pia ikiwa ni siku ya Father's Day.
Ubingwa mtamu
Tony Parker akifurahia ubingwa mkononi akiwa na chupa kubwa na mvinyo mbele ya kikombe cha ubingwa.
King LeBron akiwa ahamini kilichotokea Miami ndiyo waliokuwa watetezi wa ubingwa wa NBA kwaiyo sasa wasubiri msimu unaokuja mwaka huu imekula kwao.

No comments: