Misa Takatifu kwa lugha Kiswahili -
Kuwaombea Wakina Baba, June 29, 2014
Watanzania wote pamoja na marafiki zetu,
Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya Kiswahili.
Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya Kiswahili.
Nia na madhumuni ya idada hii Takatifu
ni kuwaombea wakina baba wote.
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Tarehe 29 June 2014. Saa nane
kamili mchana (2:00 PM).
Baada ya Misa tutajumuika kwenye ukumbi wa
kanisa ili kupata chakula cha pamoja.
Karibuni sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na
jamaa zako.
Kama una swali au maoni unakaribishwa kuuliza kwa kujibu barua pepe hii.
Kama una swali au maoni unakaribishwa kuuliza kwa kujibu barua pepe hii.
Aksante sana ( katibu Dani Steven) kwa
niaba ya Baba Paroko, Padri Evod Shao
No comments:
Post a Comment