Kijana
mmoja muda huu ambaye alitambulika kwa jina moja la Ridhiwani amekutwa
Bila aibu Akimlawiti mtoto wa miaka 12 maeneo ya PPF Njiro.
Tukio zaidi tazama hapa chini
Ridhiwani aliyembaka Mtoto wa Miaka 12 muda mchache uliopita
Ridhiwani akiwa Chini ya ulinzi baada ya kukamatwa akiwa anamlawiti kijana wa Miaka 12
Mashuhuda wakiwa wanamshangaa kijana huyo aliyebaka
Wananchi wenye Hasira kali wakiwa wanataka kuanza kumtandika kijana huyo...
Mpaka sasa kijana huyo yupo eneo alililo kamatwa Njiro karibu na PPF.
Picha na Arusha yetu Blog
1 comment:
siajabu ana chembechembe za ushoga?kwa hamu gani umfanyie mtu hadharani, mpelekeni jela akalawitiwe na yeye
Post a Comment