Wagombea katika nafasi ya Katibu wa tawi la CCM DMV Ismail Mwilima na mama Jessica Mushala wakisubili kuitwa mbele ili wajinadi na kuwamba kura kwa wajumbe wa CCM DMV katika kinyang'anyilo cha ukatibu wa tawi ambapo mama Mushala aliibuka mshindi na ambaye ndie katibu mpya wa tawi hilo.
Mwenyekiti wa CCM DMV Bwn. George Sebo (kushoto) akiwa pamoja na msimamizi wa uchaguzi toka New York Bwn. Akida.
Mwenyekiti wa CCM DMV Bwn. Gerge Sebo akifungua mkutano wa uchaguzi uliofanyika Hmpton Inn
Mchungaji akifumgua mkutano wa uchaguzi kwa sala
Mama Mushalla akijinadi
Mgombea Ismail Mwilima akijieleza
Msimazi wa uchaguzi Bwn Akida akielezea utaratibu wa kupiga kura.
Ismail Mwilima akimpongeza mama Jessica Mushala baada ya kutangazwa.
Picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
9 comments:
Hongera mama Jesca mushala Jembe piga kazi ccm oyeee.Sasa Tawi litachangamka
How much time do these people have, what has CCM got to do with their life in the USA. huko USA hakuna ufisadi kama bongo - so sera ipi ya kufuata huko, and ccm will not crate any employment of free health care for you people - what a joke
Hongera mama Mushala, CCM sasa mmepata kiongozi mahiri! THIS WOMAN DOES NOT JOKE NA HANA MAJUNGU ANAKUPA LIVE ON YOUR FACE, Kaeni mkao wa kula kuchapa kazi...
HONGERA SANA MAMA MSHALA NATUMAINI SASA TAWI LA CCM-DMV LIMEPATA JEMBE NA KIONGOZI MADHUBUTI, MCHAPA KAZI NA MWAJIBIKAJI. CCM OYEEEEE....OYEEEEEEE. CCM JUU...JUUU ...JUUU...ZAIDI. NIMEIPENDA SANA HII SAFU YA UONGOZI WA JUU WA TAWI LA CCM-DMV.
KATIBU NI KIONGOZI MKUBWA KATIKA CHAMA SASA KATIBU ANASHINDA KWA KURA MOJA TU TENA YAKE MWEYEWE KWELI IYO NDIO CCM UKILITIMBA MPAKA MAREKANI
Hongera mama Tuzungumze!!!CCM Oyeee!!!
PUMBA TUPU...
Hongera Mama Mshala. Ninaimani utakuwa katibu mtenda kazi. Wanachama tumpeni msaada pale atahitaji msaada.
WANA WA CCM TAWI LA DMV-TIMU IMEKAMILIKA SASA HAKUNA EXCUSE..UONGOZI UMEKAMILIKA KIKAMILIFU.CHADEMA, CUF, UKAWA, UZAWA MKAE MKAO WA KULA BIRIANI.
CHEZEA CCM WEYEEEE.
Post a Comment