Leo, Jumamosi, June 28, 2014 kuanzia saa 10 alasiri (4pm)
Meadowbrook Park
7901 Meadowbrook Lane
Chevy Chase, MD 20815
Video: Ebou Shatry Swahilivilla 301 728 3977
LIBERATUS "Libe" MWANG’OMBE, MPH, BSRC, RRT-NPS.
Intern:The Division of Health Interview Statistics
(DHIS) at the National Center for Health Statistics (NCHS)/United States
Center for Disease Control and Prevention (CDC)
Ushirikiano
na Umoja
- Uongozi huu utaimarisha ushirikiano na ubalozi wetu pamoja na wizara ya mambo ya nje, ili kupendekeza “Diaspora policy” itakayowapatia wanaDispora nafasi za kazi, mikopo nchini Tanzania na kuwezesha uraia pacha.
- Pia tutahakikisha waTanzania wanapatiwa fursa ya kuongea na viongozi wa serikali wakiwa kwenye ziara hapa USA, ili kujadili mambo mbali mbali yanayoendelea nchini.
- Mapendekezo ya kurekebishwa kwa katiba yatafanyika awali, ili kulinda haki za wapiga kura DMV (Kupiga kura iwe haki kwa kila mTanzania na sio "benefit", yaani sio pay-register and vote)
- Uongozi huu utafanya maamuzi kwa kufuata katiba ili kuleta amani, umoja na mshikamano.
- Uongozi huu utakuwa wa uwazi na ukweli. “UWAZI na UKWELI” ni msingi wa Imani na kichocheo cha Uzalendo
- Katika uongozi wetu kila Mtanzania atapewa heshima stahiki na
haki ya kusikilizwa na kushirikishwa
Baraza la Ushauri
- Uongozi huu utatambua mchango wa viongozi waliopita, viongozi wa dini na wazee na kuwajumuisha katika baraza la ushauri.
Lugha ya Kiswahili
- Uongozi huu unatambua mchango mkubwa uliofanywa wa kuanzishwa kwa darasa la kiswahili na utafanya juhudi za kuendeleza juhudi hizo.
- Nia yetu ni kukuza kitengo hiki kwa kuwakaribisha watu wa mataifa mengine kujifunza lungha yetu ya Kiswahili ambayo imekubalika rasmi kwenye Umoja wa Afrika
- Uongozi huu utajihusisha na shule za sekondari pamoja na vyuo nchini Marekani vinavyofundisha lugha ya Kiswahili kwa nia ya kuwapatia wanajuiya ajira ya walimu na ukalimani wa lugha ya kiswahili.
Jumuiya na Wajasiriamali
- Uongozi wetu utatumia Association of Tanzania Community (ATC) kuwadhamini wajasiriamali kupata mikopo midogo na mikubwa ya kufungua biashara zao.
- Ili kuwawezesha wajasiriamali, tutaweka taratibu za kuwapatia mafunzo na kufwatilia maendeleo ya biashara zao.
Elimu
- Uongozi utachukuwa jukumu la kuhakikisha kuwa, Watanzania wanapata taarifa sahihi za udhamini wa elimu wa vyuo mbalimbali na fursa nyingine kama “Young African Leaders Initiatives” (YALI), juhudi za Rais Baraka Obama kusaidia viongozi wa kesho barani Africa. Uongozi utatoa habari ya bahati nasibu “Diversity Visa Lottery” kwa Watanzania wanotafuta fursa ya kusoma na kujiendeleza hapa Marekani.
Jumuia na vyanzo vya
mapato
- Mapato ya jumuiya yatatokana na ‘fund rising events’ tukishirikisha mataifa mbali mbali pamoja na miradi midogo katika shuhuli hizo.
- Kwa kutumia hadhi ya 503 (c) tutatafuta misaada kutoka mashirika makubwa na hospitali ili kupata vifaa kwa ajili ya hospital za nyumbani.
Jumuia na Afya
- Tutaanzisha “Nursing Association” kwenye jumuia ambayo itakuwa ikitoa mafunzo. Pia tutatafuta namna ya kupata unafuu wa Health Insurance kama kikundi ili kupunguza gharama
8 comments:
Umepata kura yangu,nimezipenda sera zako na jinsi unavyo campaign.
WANA DMV SASA TUNAITAJI VIJANA KAMA WAKINA LIBE WENYE NGUVU. WEWE LIBE NI JEMBE KAMA MWANA DMV NAKUPA FULL INDORZMENT
BLACK MPINGO.
Libe unaweza ila angaliabsana unabwahuni wanaokuzunguka unawezajikuta mambobyakiharibika DMV ikawa bomu. Ndani ya mashabiki ulionao watapeli wa mambo chafuzi!! Usijikute ukianguka!
Is this guy a US citizen or Tanzania citizen???
Does it make a difference? US or Tz?
Is this a joke, this guy even is not participate in USA-DIASPORA meeting. How comes will be able to fight for dual citizenship. kaka don't fool yourself. I'm sure you don't know what is a USA-DIASPORA. DMV don't be fool with guy. Does it mean DMV you have a brain peoples there to run your organization rather this type of guy. I heard he failed even to lead branch of chadema which doesn't have 13 members.
Wewe unayeuliza swali kuhusu uraia wa Libe, why is that relevant? Of the two candidates, who do you think is actually not a U.S. citizen?
Anonymous of June 28, 2014 11:09, who was your English teacher? You should seek a refund of your tuition fee immediately.
Post a Comment