ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 24, 2014

USHINDI UNAPOPATIKANA HUA NI KICHEKO NA CHEREKO

JB akifurahia ushindi wa timu yake ya DMV May 24, 2014 Timu hiyo ilipoifunga timu ya New York 5-0 na kufanya timu hiyo ya New York kuogopa kurudiana na DMV siku ya Jumamosi June 28, 2014 kwa kisingizio cha mwezi wa Ramadhan.

No comments: