ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 10, 2014

VIDEO:FROLA MBASHA AFUNGUKA KUWA MME WAKE AMETISHIA KUMUA


2 comments:

Anonymous said...

Kwenye matatizo ya ndoa kuna story za aina tatu. Kuna maneno ya mwanamke, ya mwanaume na UKWELI. Ukweli unapatika baada ya wasikilizaji kusikia pande zote mbili na kuchambua kwa makini. Wasikilizaji tukumbuke kwamba kila mwanandoa katika hali kama hii atavutia upande wake. Hakuna anyekubali kosa. Mara nyingi katika hali kama hii, watu wengi wasiokuwa makini utakuta wanawake wanamtetea mwanamke mwenzao na wanaume hufanya hivyo kwa mwanaume mwenzao. Jambo la msingi hapa ni kusikiliza pande zote mbili na kuwa makini especially kwenye body language.

Anonymous said...

ANONY NO 1 UMESEMA KWELI, HUYO MWANAMKE ANAONYESHA KWAMBA JAMBO HILO HALIJAMUUMIZA ACORDING TO BODYLANGUAGE SIR. FLORA ANAHISTORIA YA UONGO. IMMANUEL WA KWANZA HAJAOA HADI LEO SABABU FLORA ALIMSINGIZIA KWAMBA ANAUKIMWI LENGO LIKIWA KWENDA UK KUOLEWA NA MZUNGU, MAKUBWA YA FLORA. FAMILIA HIYO UNAIBOMOA MWENYEWE KWA MIKONO YAKO. MWANAMKE MJINGA HUIBOMOA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE.