Prof Boas katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Breakpoint baada ya kumaliza kuwapa somo juu ya kutoa hudumu iliyobora kwa wateja.
Prof Nicolas Boas akitoa somo kwa wafanyakazi wa Breakpoint.
Wafanyakazi wa Breakpoint wakifuatilia somo
GPL
2 comments:
WOW!!! I thought Boas was a Dokita of Communication, what a leap to teach nyama choma's bartenders customer service? Kumbe hata mimi mbeba mabox naweza ku lecture aerospace engineers.
Sasa kwenye customer service kwani watu hawa communicate? Sasa si anawafundisha jinsi ya kuwasiliana na wateja vizuri hili waongeze mauzo.
Post a Comment