Advertisements

Saturday, July 19, 2014

AL-SHABAB WAZIDI YAUA WATU SABA BAADA YA KUVAMIA BASI LA ABIRIA

Al-Shabab wavamia basi la abiria lililokuwa linatoka Mombasa kwenda Lamu na kuua watu saba wakiwemo polisi wanne. Mtu huyo wa kikundi cha Al-Shabab  aliekuwa na gari dogo alilizuia basi hilo la abiria kwa kupaki gari lake mbele na basi lilivyosimama alianza kufyatua risasi na kuua driver na abiria wake na kuwajeruhi vibaya abiria 8 wa basi hilo. Siku hadi siku Al- Shabab wanahatarisha maisha ya wananchi wa Kenya kutokana na vitendo vyao vya kua raia wasio kuwa na makosa. Hadi inasemeka Al-Shaban wamesha ua watu karibia 100 kwa kipindi hiki cha summer pekee.

No comments: