Advertisements

Saturday, July 19, 2014

BAADA YA KIPIGO CHA GOLI 5-0 KUTOKA DMV KOCHA WA NEW YORK AONEKANA PANGANI TANGA AKIJIANDAA NA MECHI YA MARUDIANO

 Kocha wa New York Salim Akida akiwa kijini kwao Tanga alikoenda tu baada ya kipigo cha goli 5-0 kutoka timu ya DMV na yeye ndiye aliyesababisha mechi ya marudiano kutofanyika mpaka yeye arudi toka Tanga Vijimambo NY ilivyoongea nae alisema sasa hivi DMV hawachomoki. Mechi ya DMV na New York itapangwa tena baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Radhani kuisha.

2 comments:

Anonymous said...

anakwenda kutambika akirudi marekani dmv mmekwisha mtapigwa mabao kama germany ilivyowapiga brazil kwenye world cup.
cheza na tanga weweeeeeeeee....

Anonymous said...

mlikuwa mnataka kutuambia tu makaratasi ya Obama yameitika