Advertisements

Wednesday, July 30, 2014

BASI LA MORO BEST LAPATA AJALI, LAUA ZAIDI YA WATU 10

Watu zaidi ya 14 wanadaiwa kufa papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya kufuata ajali ya basi la Moro Best walilokuwa wakisafiria kutoka Mpwapwa kwenda Jijini Dar es Salaam kupata ajali hii leo mkoani Dodoma. 

Onyo picha za Soma zaidi sio nzuri tunaomba radhi kwa picha hizo
Taarifa zaidi zitawajia hapo baade. Photo: Dodoma Yetu Blog.

No comments: