
Msanii wa miondoko ya pop kutoka Canada, Justin Bieber atashtakiwa kwa kosa la uharibufu wa mali baada ya kurusha mayai kwenye nyumba ya jirani yake, wamesema waendesha mashtaka.
Msemaji wa mwimbaji huyo amesema
Bieber, 20, anakabiliwa na kesi mbili za uhalifu mjini Florida na Toronto.
Wapelelezi walipekua nyumba ya Bieber mwezi Januari kutafuta ushahidi baada ya mayai yaliyorushwa kusababisha uharibifu mkubwa.
Mmoja wa marafiki wa Bieber alikamatwa akiwa na dawa za kulevya katika upekuzi huo.
Mwimbaji huyo angeweza kukabiliwa na mashtaka makubwa zaidi iwapo hasara iliyosababishwa ingezidi dola 20,000.
No comments:
Post a Comment