Baadhi ya majeruhi wa bomu lililotupwa kwenye mgahawa uliopo eneo la Gymkhana jijini Arusha wakiwa hospitali.
WATU nane, wengi wao wakiwa ni wa asili ya Asia, wanahofiwa kujeruhiwa vibaya kwa bomu lililotupwa kwenye mgahawa uliopo eneo la Gymkhana jijini Arusha usiku wa kuamkia leo. Jeshi la Wananchi likishirikiana na Jeshi la Polisi wanachunguza chanzo cha bomu hilo.
(PICHA NA NGILISHO : ARUSHA/GPL)
2 comments:
Haya matatizo ya mabomu Arusha yalianza kama mchezo, kuanzia ktk mikutano ya kisiasa, mikusanyiko ya kidini, sehemu za starehe lakini lakusikitisha zaidi mpaka sasa Serikali imeshindwa kudeal na hili tatizo kikamilifu, ilifika wakati watu hata wakawa na imani kuwa ni conspiracy ya Serikali! Kama wanavyosema waswahili "hata mbuyu ulianza km mchicha" Somalia nayo ilianza hivihivi.
Kweli Kabisa! Inaonyesha serikali bado hailipi umuhimu hili suala. Na hapa hajutazumgumzia suala la silaha nyingine ambazo upatikanaji wake umekuwa very simple. Hii nchi inaelekea pabaya mno.
Post a Comment