Mr. Liberatus Mwang’ombe “Libe” held
a bilateral talks with Ambassador, Liberata Mulamula, and Hoh; Suleiman and Mkama
on wide ranging issues related to economic and social cooperation between the
DMV Community, Tanzania, USA and Diaspora as whole; today July 1, 2014.
Ambassador Mulamula explaining about his policies to ambassador Mulamula
Mr. Mwang'ombe explaining about his policies to ambassador Mulamula
Liberatus Mwang'ombe "Libe" handing over his policies for DMV Community to ambassador Mulamula
Liberatus "Libe" shaking hands with hon. Mkama after the meeting
At the end of the meeting everyone had mr. Mwang'ombe's policies in their hands
Ambassador Mulamula gives remarks after the meeting
More remarks from Hon. Sweerbet Mkama
Team Libe for DMV President Campaign manager, Mona gets a shot with ambassador Mulamula
Presidential candidate, Liberatus Mwang'ombe poses for picture with campaign manager, Mona
6 comments:
Huyu ndo campaign manager? MAJANGAZZZZZ
amesemwa kwamba amawazarau watu wa ubalozini na pia hawaheshimu sana anajikomba kwao ili apate kura
Hazi kampeni za Kimarekani zaidi.
Mgombea wa Urais wa USA lazima atembelee Israel kabla ya uchaguzi.Kumbuka Mitt Romney,Obama,McCain.
Kaka Libe umeanzisha utaratibu mpya wa kujitambulisha Ubalozini,unaongoza wengine watasubiri sana kaka yangu,
Kampeni Manager anatuwakilisha vyema wanawake,asiyependa uso utawashuka mwaka huu mweeeee.
THIS IS INTELLIGENT CAMPAIGN EVER IN DMV.
DMV DMV DMV .
Kama masihara vile,Libe huyo anachukua Urais.
sasa luka unakuwa biase mbona comment yangu umeitoa sababu umeona nimesema libe hajui katiba ya jumuiya na ubalozi hautakiwi kujishughulisha na uendeshaji wa jumuiya. hiyo ndio katiba ya jumuiya yetu ya atc metro. sasa wewe unaziondoa comment ili iweje nilifikiri blog yako iko neutral kumbe si hivyo. tunakuheshimu lakini naona sasa hata uhuru wa mawazo katika blog hatuwezi kuitumia tena,kama uko team libe kuwwa wazi kama ilivyo blog ingine ya hapa dc wao wamasema wazi wako timu libe. sasa wewe unaondoa comment ili iweje? acha kuwa biase, kwa mtindo huo utajiharibia sifa yako ya kuheshimika hapa dmv. na hii bania tena ni kukuelimisha tu na kama ubalozi wamekwambia uondoe na wao pia ni kuwaelimisha. hii ni free country as long hutukani na wewe katika blog yako unasema bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku yake!! sasa huo msemo wako mbona unaenda against nao. ni bora usiweke section ya comment.
Post a Comment